![Step ft. S2kizzy](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/05/25/97b5fc9b3c3a45fca8f673de12d10339_464_464.jpg)
Step ft. S2kizzy Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
Step ft. S2kizzy - Moni Centrozone
...
Oyaa kuna nyingi byebebyebee
Kazi kwako domo zegezege
Ruka kama tunacheza dege
Na buti lako la jeje jeje
Little step, little step,little step,little step
Yeaaah…Aaanh
Mkononi gari box kitu cha skanka no rizzler
Pull up na new jozi mabarafu ka freezer
Marafiki ndo masnitch, watakuroast yai viza
Siamini chochote cha mbele ya camera wanaigiza
Stay hungry broda ku main???????
Haijalishi kitani umeweka mizizi nakuja nakata na chensoo
Get money lay low, hit jackpot dicsco
Huku kitani hatutaki ushubwada you better vaa moskudos
Tukishapata mkwanja huwa tunaflex no reason,
Wa mwisho kawa wa kwanza nyuma geuka new season
Niki pull up na ma gang inakuwa trouble manizzo
Niki pull up na madem ni vitambo foshizo
Asikuambie mtu tutu bia tamu
Alfu na ile kitu kati ya uvungu pia tamu
Vamia bebe itamwagika hiyo damu
Vamia meza uwe na uhakika bili zamu
Legooooo
Oya kuna nyingi byebe byebeeee
Kazi kwako domo zegezege
Ruka kama tunacheza rege
Na buti lako la jeje jeje
Little step, little step,little step,little step
Ewaaaaah
Jeeeh
Nashtua u poverty naweka vyeni
Mshtue na don dada aangushe bweni
Leo kutawahi kukucha utasema ule usiku wa deni
Usishangae navyoruka mlangoni nimelipa ten
Namwaga motoooo
Naangusha moet, Naangusha henny
Naangusha jager, kama vipi angusha bapa
Ukiangusha gari,wademu wa uswazi watakuzaba
Ili watoto waende shule ndo maana wapo wanadanga
Jeeeh
Real niggas getting dow
Come see money we blow
Mama mtu usiwe na wasi usiku wa leo ndo shoo shoow
Nishashiba kuku wa ndoo
Ukiwa na pesa utaitwa bro
Pisi kali usiwe na wasi usiku wa leo ndo shoo shoo
Jeeaaaah
Asikuambie mtu tutu bia tamu
Alfu na ile kitu kati ya uvungu pia tamu
Vamia bebe itamwagika hiyo damu
Vamia meza uwe na uhakika bili zamu
Legoooo
Oyaa kuna nyingi byebebyebee
Kazi kwako domo zegezege
Ruka kama tunacheza dege
Na buti lako la jeje jeje
Little step, little step,little step,little step
Ewaaaah
Oyaa kuna nyingi byebebyebee
Kazi kwako domo zegezege
Ruka kama tunacheza dege
Na buti lako la jeje jeje
Little step, little step,little step,little step
Ewaaaah