![Naumia Roho/Beautiful Song](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/06/13/47ed70dbf8544ce18fa656f7140e6b8d_464_464.jpeg)
Naumia Roho/Beautiful Song Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2023
Lyrics
Naumia Roho/Beautiful Song - Moni Centrozone
...
Naumia roho (Malume)
Naumia roho
Naumia roho _-It's a beautiful song babe
One more time, _-It's a beautiful song babe
Majengo sokoni music (S2kizzy baby)
Naskia wenye uwezo ndo watu wanaokuwania
ila baby I love you ndo kitu nakwambia
Pesa magari ndo fine, ndo kitu wanatambia
ila baby I want you na kiapo nakuapia
Kukukosa naumia roho (naumia roho)
Naumia roho (my babygirl)
Naumia roho (naumia roho)
Naumia roho (Beautiful song)
Nikicheki yake Snapchat, misosi kwa hotel
Kuendana na hiyo lifestyle itanbidi niwe cartel
Kila akinipa chance, mashuti ya balotel
Endapo nkiwa siperform, ndo Malume ntapofel
Keshaumizwa na mapenzi, kaumizwa na mafrends
Hapendi mambo ya watu, umbea kupretend
Kujitambua wako uzuri ni kujua unapostand
Anaonekana wife material tatizo ni weekend
Keshaumizwa na mapenzi, kaumizwa na mafrends
Hapendi mambo ya watu, umbea kupretend
Kujitambua wako uzuri ni kujua unapostand
Anaonekana wife material tatizo ni weekend
Naskia wenye uwezo ndo watu wanaokuwania
ila baby I love you ndo kitu nakwambia
Pesa magari ndo fine, ndo kitu wanatambia
ila baby I want you na kiapo nakuapia
Kukukosa naumia roho
Naumia roho (my babygirl)
Naumia roho (naumia roho)
Naumia roho (Beautiful song)
Sometimes kwenye mapenzi hauna pesa una furaha
Mwingine anazo pesa ila hana furaha
Huyu hana pesa ila anayo furaha
Mwingine anazo pesa na furaha (ahh)
Maisha usiku n vyupa vyupa, Dorime na kufly
Na mkubwa sina mchungwa, ata wa kumix niko dry
Na wakubwa hukata mpunga, vacation kufurahi
Sauti kubwa anayopenda "Bibi, welcome to Dubai"