![Malume 2021](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/02/23/7cbb08733a514500ad8f67b2be8830d9.jpg)
Malume 2021 Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2021
Lyrics
Malume 2021 - Moni Centrozone
...
malume2021-- moni cenrozone
(majengo sokoni)
(tongwe records)
malumeee!!.manigga central hahaaa
yeeeah!! aaaaah!! yeeeah!!
verse 01
Ushawahi ona simba yupo na chui yupo
na tembo(haiwezekani)
wiki mbili gigy money bila scandal
(haiwezekani)
ona nishavifungua mradi penzi na
visend off
mflex instagram utasema omary
nyembo
Naona picha za maqueen kweny social
jinsi wanavyofek kwenye soko
Damn pretty as hall,brazilian hair
Hawana kazi ukiwataka pesa itaongea
Hata mi natembea na zana jeans
zang kata K
Sihitaji wengi wana wanang me stapotea
Demu wako utamkataa halafu utampa na
pa K
Ila ukimuacha utaona chipu anavyojiuza
vunja bei
I'm on to the next one ile kisizwaaa
Kijukuu cha mtume my nigga son of the
jesus
sasa naspit too far,natafta bar natafta
reason
Hello mr scofield waeza escape kwenye prison
Malay* mtaji kiuno,fifi moto
Wazazi wamenawa msimi nyok*
Daily niko ready kam protoco ya kyoto
Kichwani nina dredi mbichi imeshiba kokoto
Hatununui luku tukitoka tumenyoosha
kwenye list wanaowapa dukuduku watatutaja
Hatuchenji buku kwa njaa ya siku moja
Hatuchinji kuku hata kama mgeni kaja
Kazi nilishapiga hadi msasa
Na kuna wana walinitenga ,japo nilikuwa
mwasisi wa tamasha
Walichonizidi ni anasa
na sito jali wakinitenda mkwaji ninacho
labda nitengwe na kinasa
Wazazi wamenawa msimi rasta
watoto wanapagawa na vitasa
mjukuu wakimwaga dark master
wananijua me mtu safi nipo na pigo za kimaster
kuhusu maslayqueen sina haja ya kuvua chupi
As matter of fact sijawahi kuona wakivaa chupi
?
moni centrozone east zoo
malumeeeeee!!
Sasa wanataka mziki ,wanataka mtiti watoto
wa mtaani
kimenuka street nipeni strictly niwashe mjani
unaambiwa no retreat no surrender kwenye army
Nishapoteza niliyempenda RIP my mummy
Ni talent iliyo nileta kwenye city
nikipushi sterling,msiseme uber acheni kwikwi
Ukiona casket, ukiona sanda ni mazishi
Kabla ya sunset na 3D lunch kwa shishi
(togwe record bebiii )