![La Moto](https://source.boomplaymusic.com/group2/M0B/42/66/rBEeM11e1-WAfRBRAABlB_WqVCE534.jpg)
La Moto Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2019
Lyrics
La Moto - Moni Centrozone
...
pwa(ooyhae)
majengo sokoni music
run mo town bae
(east o kzy baby)
na jicho lako la kungu nitazame mm (ooyhaee)
ingekuwa nafsi ingekuwa air ningesema nn (ooyhae)
umenifanya nithamini nguo ya ndan
nimefunguwa boxer
mwambie shangaz naleta posa
penzi lako la moto
la moto
penzi lako la moto
la moto
mapenzi wawili tukiwa chumbani
watu wakintenda nimpende nani
naskia mjomba wako kakutaftia kukuweka ndani
licha ya kufuga mbwa kanunua na gun
saa nacheza kabati
mbwa nampiga runkey
bebe vunja kabati
ikibidi twende town
sitazunguka mpaka upatwe
wanaume tuko wachache
makuku kwako juu ya meza
nakununua umkate (Eeh)
Aah dimba la kati nakaza kongoro kata
changu si chama na wala mapono kwani
tukichoka misosi tufolow zane
kisha mama visosi nakorodani (Oooya)mademu wa mjini hawako loyo(ooyhae)
wakiongwa sio wachoyoo (Ooyha e)
mabrazameni hawako loyo (Ooyhae)
wamemfanya vanesa akawa moyo
na jicho lako la kungu nitazame mimi
ningekuwa nafsi ingekuwa air ngesema nini
umenifanya nithamini nguo ya ndani
nafungua boksa
mwambie shangazi naleta posa
Penzi lako la moto
La moto
La moto
basi uliza kuhusu janga
she got from ma mama
siulize kuhusu anga
pesa wenzetu wanabamba
makisi kwao ni danga
ushalitupa toka zama
ukipima kwenye bamba
mabegi tanga unahama
achana na gangsta
watutesa wapo real
(Jap)japo mi ni gangsta
sina presha nakufeel
ukiona nasebenza ujue nasaka meal
kuliko kukosa pesa bora nisake vile
visa safari usiende standi nipe moyo mapokezi
hizo mishe umeingia early kwenye ushenzi
vicheche nshaweka pending
kwenye kusaka chenji
aka, naril i muster docta mengi
mademu wa mjini hawako loyo(ooyhae)
wakiongwa sio wachoyo(ooyhae)
maabrazameni hawako loyo(ooyhae)
wamemfanya vanesa akawa moyo
Na jicho lako la kungu nitazame mimi(ooyhae)
ningekuwa nafsi ingekuwa air ningesema nini(ooyhae)
umenifanya nithamini nguo ya ndani
nafungua boksa
mwambie shangazi naleta posa
penzi lako la moto
la moto
penzi lako la moto
la moto
moni centrozoni east zoo
(Usiionge)
chee majengo sokoni music
eastokyz bwana (zooom)
ki
lets go
tii
eeeh
na run mo town
eeh