![Tuendelee/Hold Up ft. Conboi Cannabino](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/06/29/151509e6c5d741f28ed1c192ec09de37_464_464.jpg)
Tuendelee/Hold Up ft. Conboi Cannabino Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
Tuendelee/Hold Up - Moni Centrozone
...
lyrics written by Rotta
Tuendelee/Hold up -Moni centrozone ft Conboi
aaaah For lifestyle (Tojo zee)
roof iko juu maniggah
mkatie dem wako ticket uturuki kuna wateja
kuliko kumfungulia duka af akaliwa na wateja
na centrozone east zuu meen
malume
verse1 (Moni Centrozone)
Hii ni kwako young fella mskilize angel mtupe devil
ukishindwa piga hela usipige domo baba Levo
kwenu sio tajiri u just the kid from the ghetto
where the black women talk about the sugar level
japo mjini pagumu ila lazima upige cash
umetoka kwenu hauna mtaji hauna mirathi
temeke to masaki icho kijasho hauna Marashi
af mtaani uko scandal za ngada na mihadarati
u can have some friendship with people
ukizani mko equal
Ila kaa jua chuki zipo zinahusisha mshiko
japo mtaani usnitch mwiko wanavunja miiko
Sijui wakunywa nae yupi nivute nae kiko
hata wakikudhuru hawako above the law
huku mkaburu wanangu wanauza roho
u need more ten niggas tena waje wameshiba af malume sina chawa na account ina Seven(7) figures
aaaagh
for for the mic on
converse na full-back pack af kwenye show napewa shangwe kama Tupac's back
na madem nawakuna nilivyosuper kwa scratch
waliotaka kuwa chawa wangu niliwatupa kwa trash
af navuma kwa kasi watasema nimekunywa nimevuta ili nije kuongea ukakasi
nikimwaga moto huwa ni chata hivyo sihitaji DNA wanangu mtaani wanauliza mbona atujakuona TMA
aaah
wanaume wa dar kutawaliwa ni wabheja
wasanii wanalia wakikimbiwa na manager
mkatie dem wako ticket uturuki kuna wateja
kuliko kumfungulia duka af akaliwa na wateja
Chorus
Tuendelee ama tusiendelee
Tuendelee ama tusiendelee
Tuendelee ama tusiendelee
Tuendelee ama tusiendelee
na hold up
verse2 (Conboi)
eeheh It's conboi
u know am in this b*tch meen let's get it
haah
forget what they told yaa
wakiniona me ujue its over
kinda like a soldier when I spit nikama scojaer
am the beat controller the all city is on ma shoulder
toka enzi nasoma nishaelewa am going to cover
nilianza kwenye soccer hawakufikiri ningeweza foka
mtaa niliokulia hawakuamini ka nitatoka
siku hizi kila street con B nishakuwa slogan
people used to hate me now hawawezi ata kuchonga
correct me now
I stand up tall lookin' real MF proud
if u don't know nafanya kitu and I don't chase no clout
am the men that them horse always talkin' about
niko zangu chimbo ata hawanipati me na kick them out
lookin' at me now am focus on money
I got high intelligence Level and no f*ckin' damn
haaah!! that's what I say wahuni hatupagawi na fame gotta get paid that's why we don't play
by the power of GOD who has own his grace
to the seven days made in four with his faith
tafanya chochote me na swear by his name
am never go fail don't care what u gonna say
ok!, music been flowing inside of ma veins
wanga wanataka tu put dirty on ma name so niko hapa tu on top of the game
nishapita vichaka nishakuwa hadi insane
oooki!!.