Read Again ft. G Nako Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
Read Again ft. G Nako - Moni Centrozone
...
MONI CENTROZONE ft G NAKO -Read Again
MALUMEEEE
VERSE 1
......
Kijana mwenye msuli we ni tone la manii,
Na ukifa ni kazi yake Mola ashasemaga MADEE,
Ndoto unazoota unatamani U-fulfil ila ujipiganie unajichiti sio real(aanh),
Wengine walipenda shule ila ada ilikua mchongo,
Na walokwenda shule wakadunda NECTA kigongo,
Walofaulu kuja tu mtaani hamna michongo,
Chawa anaenda kama kipofu tajiri chongo,
Kupata rizki roho mkononi utashika hadi upinde,
Cha kwanza familia bora washibe wewe usile,
Wakati unajizuia vingine vya ndani usile,
Hujui mkeo ni mzoefu kwenda kinyume na maumbile(aanh),
Ashakum si matusi watu wanahofu kuskia kila nafsi itaonja umauti,
Kwenye maisha unaeza-stuck kisa watu unaowapenda,
Hivyo mnabidi mtengane ili wewe ufike unapokwenda,READ AGAIN
CHORUS
...
"Wakipoteana ndo zinaanza lawama,
Wakipatia hawafiki maskani bhana,
Wachawi wote leo tunawaona mchana,
Na Na Na Na Na Na Aweeeh Aweeeh"
VERSE 2
....
Napata madini ya wazee kwenye vibanda vya kahawa,
Kuhusu Doctor Bashiru na Sabaya kukosa pawa,
Naposkio na viongozi wa dini wanipe dawa,
Kuhusu chanjo ya UVIKO 19 twende sawa,
From the street ambako few people are educated,
Kuhusu Social Welfare tuko disciminated,
Hakuna chapi new year wala heartbelated,
ili kufanikiwa ubongo uwe malinated,
how Maiko real is back real Ivan,
Mafunzo tamathali za semi mazengo on map,
Nimechoka kuwa nyuma ya kivuli sa Dodoma on top,
Yule Kijana aliyeokolewa na rap he so smart,
And that's why siwezi kuacha kazi kisa dem,
Wakati nikienda kwenye kazi sikosi dem,
Kama nikitaka ila i respect kwanza kabla ya fame,
Ndo niliyoeka mbele na kueka respect on my name(Maniggah)
CHORUS
...
"Wakipoteana ndo zinaanza lawama,
Wakipatia hawafiki maskani bhana,
Wachawi wote leo tunawaona mchana,
Na Na Na Na Na Na Aweeeh Aweeeh"
Lyrics by Mago57