![Cha Mbunge ft. Kusah](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/01/02/5dd8c1001dd0425d828f510806133884_464_464.jpeg)
Cha Mbunge ft. Kusah Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
Cha Mbunge ft. Kusah - Moni Centrozone
...
Mbunge ft kusah lyrics By(IG@ Msomalih gp)
Hahaha
Twende
Eey ey eyooo Trone
Roof liko juu babe
Ayayayayayayaya
Ayayayayayyaya
Majengo sokoni musiiic
Ayayayyayayyaya
Malumeeee
Ayayayayayaya
Na centrozone east zoo baby (centrozone east zuu)
Ah na kiunoni an gold chain na mimi shingoni nina two chain
Mke wangu naomba kimoja cha mbunge kisha toa kitu si unajua napemda cha mtume
Mtoto simple midomo na lip gloss so wet lisaa moja bongo lisaa moja soweto
Nlimpata nlikuwa sina hata mikoko vichenji wachawi wakasema ntaachwa babek
Zamani ya kutolea sikuwaza ilikuwa mpeto skuizi tozo ziko juu ukitaka njoo ufate geto
Ah navokularaha najiuliza who am i vicheche sitaki walishanipa U.T.I
(Choras Kussah)
Hio milio kama naiona majirani kero mwaiona
Japo nguvu tupasue ngomaa wenye wivu leo watakomaa
Hili toto ni lamoto moto moto moto tunauwasha moto moto moto moto (malumee)
(Moni)
Aah napenda anavocheza amapiano kila nkimuona nasema te amo
Simtaki mwingine ye ndo mi amor kuringa kwake kunaendana na uzuri
Asubuhi maji iriki na mwenzie mdalasini thamani ya mwanamke sio elfu thelathini
Huyu wa sasa nkimpa maksi simpi A ya themanini nampa 99 ibaki moja ya Mwalimu
Sa my baby uko juu juu ya ini kama nyonda ukipanda kwa juu unavonyonga kama nyokaa
Sitaki watoto wa mjini wako sinza kama nyolaa havitulii visimi kutwa nzima na vijoraa
Zamani ya kutolea sikuwaza ilikuwa mpeto skuizi tozo ziko juu ukitaka njoo uifate geto
Tunavokula raha naviuliza who am i vicheche sitaki walishanipa U.T.I
(Choras kussah)
………..