![Mihela](https://source.boomplaymusic.com/group1/M01/19/47/rBEehltvyr6ABdRWAACCjcZmc_M149.jpg)
Mihela Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2018
Lyrics
Mihela - Moni Centrozone
...
na centrozone east zone
majengo sokini ni uzee
tumeanza chini chini chini chini chini tukichanga hamsini hamsini hamsini hamsini hamsini
cha kwanza uzuri unao cha pili unadharau
toka enzi ya underground
mpaka sasa namihela
wooooh namihela
tupo wote paka namihela
woooh namihela
wanaomba visa ya kuwa na we
sound zao mchicha meride
napiga sarakasi paranawe
wanandisi mimi mgogo mdalawe
furaha tupu sahau deni?
naona ur ex boyfriend anacomplain
eeeh na baby kichwa kwenye train
neno langu kwako moja anionale?
na umbile lako ndo nadata
na sura yako ndo nafyata
mchezo wa kuni bingwa wa karata
mr Emonae moni pigo za kirasta
yeeah nasimamia tuu na kucha
nikihamaki kumekucha
mtoto mtamu fisi kapewa bucha
na kila kukikucha nachuja
tumeanza chini chini chini chini chini
tukichanga hamsini hamsini hamsini hamsini hamsini
cha kwanza uzuri unao
cha pili unadharau toka enzi ya underground mpaka sasa namihela
wooooh namihela
tupo wote mpaka namihela
wooh namihela
ukitaka kujua kuhusu true love
njoo kwangu me nna real love
mademu wa mjini wanaigiza filamu
madanga waogope ka vile fwila?
tumetoka mbali kiaskari we keep it relax
penzi imara kama ukuta wa Benin
mtoto wa kiafrica eti wanakuita melanin
wengi wananpiga vita ukunje ngita ukiwa na mimi
me nazidisha mkuno nazidisha melody
ushindi goal goal tatu
kwenye mapenzi me fyatu
utamu wako babe wala usiwaambie watu
watu wakiniundia team mademu rusha stem
uchachu wao heri ata wakiniekea ndimu
nasema yeeh nasimamia tu na kucha
nikihamaki kumekucha
mtoto mtamu fisi kapewa bucha
na kila kukikucha nachuja
tumeanza chini chini chini chini chini
tukichanga hamsini hamsini hamsini
hamsini hamsini
cha kwanza uzuri unao
cha pili unadharau toka enzi ya underground mpaka sasa namihela
wooh namihela
namihela
namihela
tutututututu
na centrozone east zoon
majengo sokoni ni uzee