![Wrong Turn](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/01/25/d4cfb13c99a24a02835b2eedec58a235_464_464.jpeg)
Wrong Turn Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
Wrong Turn - Moni Centrozone
...
Moni centrozone_Wrong turn
paulmaker on the beat...
aah..aliniona mkosi kusema sina line sina money kutwa niko mtaanii
Na kama haitosh,kawafata wala bata walioshine(...) nimpende nanii
SINA SHIDA NAE....x3
kama mapenzi ni long time fucking long time(sina shida nae...kumpenda ni wrong turn)
Ukiniona na my babe sasa usianze jiliiza,
Kunichunguza kwenye account fake ni kuigiza,
Ni kweli sikuwa na kitu zaidi ya ganja na rizla,
Najuwa nilikupenda ila ukaja na viisa,
weeee.
Na kamaa nilipita mibani ukanichomaa na kuniacha njianii,
Tulipofika haikuwa good sign,now i got my babe she is so fine.
sina shida naee...x3
kama mapenzi ni long time,fucking long time,
kumpenda ni wrong turn,fucking wrong turn.
Kipimo cha chuki hakipimiki kwa mizani,
Ujuwe mmechokana utaona inaanza kisirani,
Mtaumizana na huyohuyo ubani,
Kuleteana visa na chuki ndo style gani.
Usinikumbushe zile summer time sunmer time yeah,good time good time,
Nishajiondoa kwenye troublesome troublesome yeah,
Nimekaribisha tabasam so sina shida nae
sina shida nae....x3
Kama mapenzi ni long time,fucking long time
sina shida nae..
Kumpenda ni wrong turn.