![Dk. Malume Vol.1 ft. Q Chief](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/04/30/1695e4b977cb49fbaaabab583c8d9317_464_464.jpg)
Dk. Malume Vol.1 ft. Q Chief Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2023
Lyrics
Dk. Malume Vol.1 ft. Q Chief - Moni Centrozone
...
Enzi za card view kwa mkalama nimebugua sana vikombe
Mi na spirit za ubigwa Toka niko kwetu vikonje
bangi nyingi afu tulivodumaa utasema wagonjwa
Msuli mwingi mpaka Udom mwanangu victa mgonjwa
Jioni ya muziki unafanya watu wanapata choo laini
Muulize baraka soo fine,
Show ya bure tulifata musoma tu kisa laini
Nikinenepa kwa nyama choma msiseme shwaini
Akili sita, Mzungu Baili kichwa computer ama file msije sahau this is hip hop watu wanataka mashairi
Asa majina mnayojipa wakuu wa comfortable style
Sina habari, ile kistreka utasema Raim staring
Na rafiki zetu wanapenda tu kung'ara wao
Nasi tunawakazia kwanzia UEFA mpaka karabao
Na sura so roho na staki iyo michezo ya uchizi
Tunakojoa kwa Kila style mpaka punyeto ya nzi
Unanichukia unanikunjia riziki nakutia kiwewe
Basi nakwambia wanavo itikia mama amina ndo wewe