
Bwana Umenichunguza Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2008
Lyrics
Bwana Umenichunguza - Christina Shusho
...
Ee Bwana umenichunguza na kunijua
Wewe wajua kuketi kwangu
Na kuondoka kwangu
Umelifahamu wazo langu tokea mbali
Umepepeta kwenda kwangu
Na kulala kwangu
Umeelewa na njia zangu zote
Umepepeta kwenda kwangu
Na kulala kwangu
Umeelewa na njia zangu zote
Ee Bwana umenichunguza na kunijua
Wewe wajua kuketi kwangu
Na kuondoka kwangu
Umelifahamu wazo langu tokea mbali
Umepepeta kwenda kwangu
Na kulala kwangu
Umeelewa na njia zangu zote
Umepepeta kwenda kwangu
Na kulala kwangu
Umeelewa na njia zangu zote
~~~~~~~
Maana hamna Neno ulimini mwangu
Usilojua kabisa Bwana
Umenizingira nyuma na mbele
Ukaniwekea mkono wako
Maarifa hayo ni ya ajabu
Yanishinda mimi
Hayadirikiki
Siwezi kuyafikia
Hayadirikiki
Siwezi kuyafikia
Maana hamna Neno ulimini mwangu
Usilojua kabisa Bwana
Umenizingira nyuma na mbele
Ukaniwekea mkono wako
Maarifa hayo ni ya ajabu
Yanishinda mimi
Hayadirikiki
Siwezi kuyafikia
Hayadirikiki
Siwezi kuyafikia
~~~~~~~~~
Niende wapi nijiepushe na Roho yako
Niende wapi niukimbie uso wako
Kama ningepanda mbinguni
Wewe upo
Ningefanya kuzimu kitanda
Huko nako upo
Kama nikisema,
Hakika giza litanifunika
Giza nalo halikufichi kitu
Giza na mwanga kwako ni Sawa Sawa
Ee Mungu
Unichunguze
Uujue moyo wangu
Ee Mungu (Ee Mungu wee)
Unijaribu
Uyajue mawazo yangu
Ee Mungu (Ee Mungu wee)
Ee Mungu
Uone kama
Iko njia iletayo majuto ndani yangu
Ee Mungu wee (Ee Mungu)
Ukaniongoze katika njia
Ya haki milele
Maana wewe ndiwe uliyeniumba mtima wangu
Ee Mungu wee (Ee Mungu)
Macho yako yaliniona kabla sijakamilika
Ee Mungu wee (Ee Mungu)
Nimekuita uisikie sauti yangu
Nikwitapo Baba
Ee Mungu (Ee Mungu wee)
Ee Mungu
Unichunguze
Uujue moyo wangu
Ee Mungu
Unijaribu,
Uyajue mawazo yangu
Ee Mungu
Maneno ya kinywa changu
Na mawazo ya moyo wangu
Yapate kibali mbele zako
Ee Mungu
Maneno ya kinywa changu
Na mawazo ya moyo wangu
Yapate kibali mbele zako
Ee Mungu
Maneno ya kinywa changu
Na mawazo ya moyo wangu
Yapate kibali mbele zako
Ee Mungu
---__---