
Ni Mungu Amefanya Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Ni Mungu Amefanya - Christopher Mwahangila
...
ni Mungu
ni Mungu amefanya sio mimi
ni Mungu amefanya
amefanya
sio mimi
ni Mungu ametenda
ametenda
sio mimi
ndio maana na ringa na yeye
waliponifukia chini hawakujua ni na Mungu wanashangaa nimeota imekuwaje
waliponifukia chini hawakujua mimi ni mbegu wanashangaa nimeota imekuwaje
walinipiga vita nisiende mbele
walinipiga vita mimi nisiinuke
Mungu amefanya tofauti na mawazo yao
Mungu amefanya tofauti nao
Mungu ametenda tofauti na mipango yao
Mungu amefanya tofauti na wao
mti uliokatwa umechipuka tena
wanashangaa imekuwaje ×2