![Anatenda Maajabu](https://source.boomplaymusic.com/group2/M17/EC/A4/rBEeM15WNVWAI71NAAB2snXWsRQ542.jpg)
Anatenda Maajabu Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
Anatenda Maajabu - Christopher Mwahangila
...
Anatenda maajabu
Sifuni Jina lake
Anatenda (Anatenda maajabu)
Anatenda Yesu (Anatenda maajabu) Haleluya
Anatenda baba oh (Anatenda maajabu)
Sifuni Jina lake
Anatenda Yesu (Anatenda maajabu)
Anatenda maajabu maishani mwako
Anatenda baba oh
(Anatenda maajabu Sifuni Jina lake)
Anatenda maajabu Yesu (Anatenda maajabu)
Anatenda maajabu (Anatenda maajabu)
Sifuni Jina lake
Makofi na vigelegele kwa yahweh
Hakuna Mungu kama yeye, Haleluya
Hee baba
Hee baba oh
Anatenda maajabu Yesu
Anatenda maajabu baba
Anatenda maajabu
Sifuni Jina lake
Anatenda Yesu Anatenda maajabu
Anatenda yahweh Anatenda maajabu
Anatenda maa-jabu baba
Sifuni Jina lake
Anatenda Yesu (Anatenda maajabu)
Anatenda Yesu (Anatenda maajabu)
Anatenda baba oh (Anatenda maajabu)
Sifuni Jina lake
Anatenda Yesu (Anatenda maajabu)
Anatenda maajabu maishani mwako (Anatenda maajabu )
Anatenda baba oh (Anatenda maajabu)
Sifuni Jina lake
Anatenda maajabu Yesu (Anatenda maajabu)
Anatenda maajabu (Anatenda maajabu)
Sifuni Jina lake
=========
Usilie, usilie tena
Yupo baba mtenda maajabu Leo
Mahali hapa yupo yupo Yesu mtenda maajabu
Usinung'unike tena mama
Usiwaze kwenda kwa waganga wa kienyeji
Yupo mtenda maajabu yupo Yesu mahali hapa
Usiwaze kurudi nyuma
Usiwaze kumuacha Mungu
Yupo Yesu mtenda maajabu
Napoimba sasa yupo hapa
Nasema yupo Bwana oh!
Nasema yupo yupo baba yupo Mungu yupo yupo baba Anatenda yupo baba baba baba oh
Anatenda maajabu (Anatenda maajabu Yesu Yesu)
Anatenda maajabu (Anatenda maajabu kwako)
Anatenda maajabu Sifuni Jina lake
Anatenda maajabu Leo (Anatenda maajabu
Anatenda maajabu hapa(Anatenda maajabu)
Anatenda maajabu kwako (Anatenda maajabu)
Anatenda baba (Anatenda maajabu)
Anatenda Yesu (Anatenda maajabu)
Anatenda baba baba(Anatenda maajabu)
Sifuni Jina lake
Oooh
Anatenda maajabu (Anatenda maajabu Yesu)
Anatenda maajabu (Anatenda maajabu kwako)
Anatenda maajabu Sifuni Jina lake
Anatenda maajabu leo(Anatenda maajabu)
Anatenda maajabu hapa (Anatenda maajabu)
Anatenda maajabu kwako(Anatenda maajabu)
Sifuni Jina lake
Anatenda baba (Anatenda maajabu)
Anatenda Yesu (Anatenda maajabu)
Anatenda baba baba(Anatenda maajabu)
Sifuni Jina lake
Ooh maana hakuna kama yeye Yesu
Maana sija ona Mungu mwenye nguvu kama yeye
Numuinji Numuinji unguluvi mwinza u......
Ee baba
Eee baba
===