![Hudumia](https://source.boomplaymusic.com/group1/M00/3E/7C/rBEeMllVAkGAbnoPAADUP92foZw677.jpg)
Hudumia Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2014
Lyrics
Hudumia - Christopher Mwahangila
...
..........
Weeee Mungu mwenye nguvu nyingi babaa*2
Ninapoimba huu wimbo naomba nisikie*2
Mbele yangu kuna watu wana mahitaji mengi.wanaomba mguso wako Mungu.
Mbele yangu kuna watu wana mahitaji mengi wanaomba mguso wako bwana.
Ninapoiiimba Yesuu.
(Hudumia kusanyiko bwana,hudumia Mungu wangu we,hudumia watu wako hawaa,hudumia baba yangu we,hudumia kusanyiko bwana,hudumia Jehovah shammah wangu we,hudumia watu wako hawa,wengine ni wagonjwa baba,hudumia kusanyiki bwana,,,,,wanakuitaji,baba,hudumia wewe,hudumia watu wako hawa,baba,ewe Mungu wangu)
...
Wengine wametoka majumbani mwao
wamekuja mahali hapa
haja yao wakutane na weewe Mungu
wengine wameacha kazi zao
wamekuja mahali hapa haja yao wakutane na weewe Mungu
wengine kutoka safari ya mbali wamekuja mahali hapa haja yao wakutane na weewe Mungu
Ninapouimba huu wimbo usiwe Kama burudani
tembea Kati Kati yao Mungu wangu
ninapouimba huu wimbo usiwe Kama burudani
hudumia mmoja mmoja bwana,
wengine ni wagonjwa Mungu wangu oooh,hudumia
wengine hawana chakula,hudumia
wengine hawana mavazi Baba oh,
wengine hawana kazi baba oh, hudumia
wengine wanahitaji watootoo,hudumia
wengine ndoa zao zasumbua,hudumia
wengine matatizo kazini baba,hudumia
wengine matatizo yote yote eeh.
(hudumia kusanyiko bwana,hudumia Mungu wangu we,hudumia watu wako hawa,,, Mungu wangu hudumia baba yangu wee,hudumia kusanyiko bwana,Yesuu wangu hudumia Jehovah shammah wangu, hudumia watu wako hawa, wengine ni wagonjwa baba, hudumia kusanyiko,,,,, wanakuitaji Baba hudumia wewe, hudumia watu wako hawa,,,,we baba,we Mungu wangu we)
....
Kwa ajilili zangu baba
mimi siwezi
kwa ujanja wangu Baba
mimi siwezi
siwezi kuwaponya
siwezi kuwainua aa
siwezi kuwaganga
siwezi kuwaongeza
tembea Kati Kati yao tembea Bwana uwaponye
tembea Kati Kati yao tembea Bwana uwainue
wanakuitaji Bwana ooh, wanakuitaji Mungu wangu.
wanakuitaji Mungu wangu wee
eh Baba,
(hudumia kusanyiko bwana, hudumia Mungu wangu we, hudumia watu wako hawa,hudumi Baba yangu we, hudumia kusanyiko Bwana, hudumia Jehovah shammah wangu, hudumia watu wako hawa wengine ni wagonjwa baba, hudumia kusanyiko bwana,,,,wanakuitaji baba hudumia wewe, hudumia watu wako hawa, we Baba we Mungu wangu we)
...