![Yesu Bado Ni Baba](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/11/10/722aa0bc1d8049f1b9edbd2fe66a88cb_464_464.jpg)
Yesu Bado Ni Baba Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2021
Lyrics
Yesu Bado Ni Baba - Christopher Mwahangila
...
Yesu mimi nakutegemea wewe ndio baba yangu
2×
Yesu wewe ndio baba yangu,Yesu wewe ndio mwalimu wangu,Yesu wewe ndio kiongozi wangu,Yesu wewe ndio tumaini yangu
Yesu mimi nakutegemea wewe ndio baba yangu
Hata majaribu yajapo nisonga, Yesu ni baba yangu baba, Hata magumu yakiwa makubwa bado ni baba yangu wewe, Hata mangonjwa yajapo ni tikisa bado ni baba yangu Yesu Ijapotukanua na kudhauruliwa bado ni baba yangu Yesu