![Nihuruma za Mungu](https://source.boomplaymusic.com/group2/M17/EA/BE/rBEeqF5WOIqAOYpcAADG0mGCa2Y220.jpg)
Nihuruma za Mungu Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
Ninayo kila sababu ya kumshukuru Mungu kwa yale yote aliyonitendea, ninayo kila sababu ya kumshukuru Mungu ,kwa yale yote aliyonitendea
Nikikumbuka mahali kule nilipotoka, nilipofika Leo ni huruma za Mungu. Nikikumbuka majaribu niliyopitia, kufika Leo hii ni huruma za Mungu .
Sikustahili kuyapata mazuri haya yote ni huruma za Mungu
Namshukuru Mungu kwa upendo wake heee, Namshukuru Mungu kwa huruma zakeee, Namshukuru Mungu kwa upendo wakeee, Namshukuru Mungu kwa huruma zake.
(chorus) Ni huruma huruma, ni huruma za Mungu tu, nimehurumiwa na Mungu ooh,
nimehurumiwa na Mungu mimi
Ni huruma huruma, ni huruma za Mungu Mungu tu, nimehurumiwa na babaa, nimehurumiwa na Mungu mimi, kufika Leo hii, ni huruma za Mungu tu, siyo kwa akili zangu mi, nimehurumiwa na Mungu mimiiii.
Ooh! Ni Mungu mwenyeweeee, ni Mungu mwenyewe ni Mungu mwenyewe amenisaidia, ooh ni Mungu mwenyeweeee, ni Mungu mwenyewe ni Mungu mwenyewe, amenisaidia. Alimtuma mwanae wa pekee, afe kwaajili yangu, alinihurumia sana mimi, niliyekuwa mwenyewe dhambi, alimtuma mwanae wa pekee, afe kwa ajili yangu, alinihurumia sana mimi, niliyekuwa mwenye dhambi
Ni Mungu mwenyewe, ni Mungu mwenyewe, siyo kwa akili zangu mi, ni Mungu mwenyewe, ni Mungu mwenyewe eeeh babaaaaaa
(chorus).......
Tulivyo leo rafiki ni huruma za Mungu, Tulivyoonana Tena ni huruma za Mungu, Tunavyoishi wapendwa ni huruma za Mungu, kulala kuamka kwetu ni huruma za Mungu, kula na kuvaa kwetu ni huruma za Mungu, tumshukuru Mungu kwa upendo wakeee, Tumshukuru Mungu kwa fadhili zake, Tumshukuru Mungu kwa upendo wakeee, eeh! eeh! eeh! eeh! yaaaa!
(Chorus)×2