![Yesu yupo hapa](https://source.boomplaymusic.com/group2/M17/EC/A4/rBEeM15WNVWAI71NAAB2snXWsRQ542.jpg)
Yesu yupo hapa Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
Yesu yupo hapa - Christopher Mwahangila
...
yeeesu Yuko hapa *3
oooh namwona yesu Yuko hapa* namwona baba Yuko hapa ooh namwana yesu Yuko hapa*3 namwana mungu *3 oooh naziona nguvu zake Yuko hapa namwona mikono ooh mwamwona miujiza Yuko hapa
oo naskia nguvu zake mungu naskia uwepo wake
hapa ooh namwona yesu Yuko naskia manukato mungu naskia ooh naskia nguvu zake baba Yuko hapa fungua moyo wako hakuudumie fungua moyo wako hakuguze huu ndiyo wakati wako maana leo yesu Yuko hapa
namwona yesu Yuko hapa*3
namwona mungu Yuko hapa*3
we unayopata taabu ww unaozunguka sana ww leta hagizo shida zako maana leo yesu Yuko ww uanoenda Kwa wagaga kuenda kutafuta