Viwango Vya Juu Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Viwango Vya Juu - Christopher Mwahangila
...
ni kama nipo polepole ila niko speed, aliye ndani yangu yupo speed,ni kama ninyamaza ila naongea, Yesu yu ndani yangu yeye anongea.
ni kama nipo polepole na niko speed aliye ndani yangu yupo speed , kwa nje naonekana dhaifu ndani nina nguvu, Yesu yu ndani yangu yeye ni nguvu.
sibabaiki, sihangaiki, sitetereki, nauhakikana
sibabaiki sitetereki,sihangaiki nauhakikana
Yesu yu ndani yangu na mi ni ndani yake
Yesu yu ndani yangu na mi ni ndani yake
Yeye ni wa juu yuko ndani yangu, mimi ni wa juuu juu sana. mimi eeeeehhhh.
wa viwango vya juu,vya juu,wa viwango vya juu saanaa×4