
Nitafanya ft. Lady Jaydee
- Genre:World Music/Folklore
- Year of Release:2019
This song is not currently available in your region.
Lyrics
Nitafanya ft. Lady Jaydee - Kidum Kibido
...
Ikiwa umeamua kunitoroka, ikiwa unahisi kwamba hujisikii nami tenaaa, japo imekua ngumu kunipoteza, naona ni bora nilie leo badala ya kesho, kupendwa usipendwe ni kama kujitia kitanzi, nitachimba na sururu kwa ardhi nikitafuta penzi lako, ni heri nipigwe fimbo kwa mwili sababu nitajikuna ama nitajikanda na maji moto,maumivu ya penzi mtu hajikuni wala hajikandi na maji na hakuna upasuaji yo yo
Kama kuna kosa nimewahi fanya (nieleze)
kama kuna jinsi tunaweza leta...(?)
kama kuna kitendo ningeweza tena (nieleze) nitafanya (fanya)*4 nitatenda (tenda) *4
Kweli hukumbuki uliyoyafanyaa kweli ni unakumbuka tulipotoka sisemei habari zozote za kusikia bali kwa ushahidi niliouona msamaha mara ngapi tumeshaombana bado ni makosa mangapi niliyoyafumbia macho mpka leo nahisi kufika kikomo maumivu yanazidi ndani ya moyo sitaki kwenda mbali kwani upo moyoni nikusamehe mimi mara ngapi wewe nieleze mpenzi mara ngapi???
Unataka nikusamehe mara ngapi? (usihesabu) unapenda nikuvumilie mara ngapi? (hii ya mwisho) wewe nikulilie mara ngapi? (vumilia)sitoweza (utaweza weee) nimechoka (usichoke) nimeshindwa (usishindwe) naondoka (usiondoke mamii)*2
Ukihesabu ni mara ngapi umenisamehe ni kama kuhesabu mara ngapi mtoto kaharibu nepi usichoke,usiondoke,usilie nipo hapa nakulinda
Repeat Chorus
Similar Songs
More from Kidum Kibido
Listen to Kidum Kibido Nitafanya ft. Lady Jaydee MP3 song. Nitafanya ft. Lady Jaydee song from album The Best Of Kidum Kibido is released in 2019. The duration of song is 00:05:13. The song is sung by Kidum Kibido.
Related Tags: Nitafanya ft. Lady Jaydee, Nitafanya ft. Lady Jaydee song, Nitafanya ft. Lady Jaydee MP3 song, Nitafanya ft. Lady Jaydee MP3, download Nitafanya ft. Lady Jaydee song, Nitafanya ft. Lady Jaydee song, The Best Of Kidum Kibido Nitafanya ft. Lady Jaydee song, Nitafanya ft. Lady Jaydee song by Kidum Kibido, Nitafanya ft. Lady Jaydee song download, download Nitafanya ft. Lady Jaydee MP3 song
Comments (10)
New Comments(10)
Sheky Pin
guelorkarim zxp08
waooh good song
AmanySirlim
gem
Almondz
All time favourite!
trophymus
wolololoooooooyayeeee
dinky
i feel this song deep down
Tasha Ankac9s9x
Lit
Katapa_ke
Ngoma ni kalia ...my favourite ❤❤❤
Lawrabbji4
My all time favourite song..This song literally sets the mood in my relationship
good song