- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2017
This song is not currently available in your region.
Lyrics
Jichunge - Barakah The Prince
...
nitokapo si kutamu dharau na masengenyo ndo vilitawala sikuwa na hamu yote nilipokea na kusema hewala hakujua sawa sawa na kumtusi mamba hajauvuka mto akajua upole na upendo wangu umeshakosa soko day day daily sikutaka kuamini oohh yeye ni wa kunitesa mimi ooh daily sikutaka kuamini yeye ni wa kunitesa mmimi iiih nenda zako nenda zako mi nishatuliaga roho sasa yupo sasa yupo anaeulea moyo nenda zako nenda zako mi nishatuliaga roho sasa yupo sasa yupo anaeulea moyo naomba ujichunge ( wee jichunge ) usibadilike ukawa kama (kama yuleee) babe naomba ujichunge (wee jichunge usibadilike ukawa kama yuleee sasa unajua kwanini siwezi ondoka kwako ndo maana kulia yamini tena kiapo wee ndo wamwisho kupendwa na moyo wangu sitaki tena kupepesa macho yangu
Similar Songs
More from Barakah The Prince
Listen to Barakah The Prince Jichunge MP3 song. Jichunge song from album Jichunge is released in 2017. The duration of song is 00:03:04. The song is sung by Barakah The Prince.
Related Tags: Jichunge, Jichunge song, Jichunge MP3 song, Jichunge MP3, download Jichunge song, Jichunge song, Jichunge Jichunge song, Jichunge song by Barakah The Prince, Jichunge song download, download Jichunge MP3 song
Comments (11)
New Comments(11)
Shingejz0k8
Shingejz0k8
Please contact me my brother!
mwingiraofficia026
bro un balaaaaa nymb zko zte nziqubli[0x1f623]
Nehemianjcmq
nomaa sanaaa
Neema p
[0x1f63e][0x1f63e][0x1f63e][0x1f63f][0x1f63f] hit song
Open Mind Mr
kananikumbushaga mbali haka kangoma bwana
BillyTZ
Nyimbo iliimbwa hiii[0x1f60b][0x1f60d]
jacklinedkr29
nice song
ISSACK THE BOY
good song
irenebiy4e
hongera kak
I got to meet with your brother Peter in mining activities here at Kahama, so I need to get you direct for I forgotted to ask your contacts