
Mateso
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Mateso - Rich Mavoko
...
nakujaribu nakujareb nakujaribu......
nakujaribu nakujareb nakujaribu.....
nyumbaaa yaa mgumbaa ainaa kiliooo mwisho ningepiga kimya.
Ungeongezaaa ndumba ungenipa utindio nijisahau na jina
Unajua kukupenda ndo udhaifu wangu ndege mtini nimetua Ukanionjesha asali mdomoni utamuuu (ngalii) hadi magegoni
Ata sisinziiiii muda Wangu wa usiku ulichukua
Nilitaka ribaa,.masikio nikaziba...zibaaa
kumbe napambanaa kupambaa jeneza,.oooh faidaa nini ....
Kilaa nilichofanyaa nilikuaa najikwezaaa
oooooh mjingaa Mimi.....
see lyrics >>Similar Songs
More from Rich Mavoko
Listen to Rich Mavoko Mateso MP3 song. Mateso song from album Fundi is released in 2022. The duration of song is 00:03:07. The song is sung by Rich Mavoko.
Related Tags: Mateso, Mateso song, Mateso MP3 song, Mateso MP3, download Mateso song, Mateso song, Fundi Mateso song, Mateso song by Rich Mavoko, Mateso song download, download Mateso MP3 song
Comments (33)
New Comments(33)
luciail5js
luciail5js
fantastic....so nice
Abel Mwinami
yamoyo sana
Shabani Issah
broooo amazing
paschal johnc03a9
hatari
Robby zela quester
kaka naomba nyimbo yako mpyaa iitwe sitaki tena
Emmax Mushy
Nomaaaaaah
Chicago kid
unajua mavoko
Tafawah
wewe ni nyokooo
josephalex1#
Alfred666
mateso
Kamuhabwa Rwakilomba
the best of all