- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2023
Lyrics
Sayari - HEAVENLY ECHOES MINISTERS
...
Bwana umetamalaki kote sayarini wala hakuna aliye kama wewe walimwengu wakusujudu uniongoze nitembee nawe jatika njia ya haki mienendo yangu na tabia zangu zidhihirishe njia yako X2
Mbinguni hata duniani umetamalaki nisemeje ila we Bwana nitakushukuru tu jemedari hutamani ndani yangu uniguse
Mungu mwenye nguvu ufalme wako uje yafanyike mapenzi hapa duniani kama huko juu mbinguni utupatie riziki yetu huenda tatizo lako likakufa kwa nguvu zake X2
Similar Songs
More from HEAVENLY ECHOES MINISTERS
Listen to HEAVENLY ECHOES MINISTERS Sayari MP3 song. Sayari song from album Tia Mundu is released in 2023. The duration of song is 00:05:57. The song is sung by HEAVENLY ECHOES MINISTERS.
Related Tags: Sayari, Sayari song, Sayari MP3 song, Sayari MP3, download Sayari song, Sayari song, Tia Mundu Sayari song, Sayari song by HEAVENLY ECHOES MINISTERS, Sayari song download, download Sayari MP3 song
Comments (1)
New Comments(1)
sarawalter
aaamen