- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2023
Lyrics
Yerusalemu - HEAVENLY ECHOES MINISTERS
...
Natamani nifike mji yerusalemu niimbie mji wa raha ulioandaliwa kwa ajiri yangu mimi na wewe tuwepo pale mji mtakatifu yerusalemu mpya ilukishuka toka mbinguni juu imeandaliwa kama bibi harusi kwa bwana wake X2
Maskani ya mungu ni pamoja na mwanadamu tazana aketiye kwenye kiti cha enzi naye atafuta kila chozi machoni mwao na mauti hayatakuwepo tena atayafanya yote kuwa ni mapya alfa omega chemichemi ya maji ya uzima yao ni Yerusalemi mpya
Naye mwenye kushuhudia haya asema naja upesi uje Bwana neema yako Bwana itulinde siku zote roho mtakatifu aje kwetu akaishi nasi abadilishe nia miongoni mwa watu wa Mungu awafanye wanafunzi wake na kuwaleta kwa Yesu X2
Similar Songs
More from HEAVENLY ECHOES MINISTERS
Listen to HEAVENLY ECHOES MINISTERS Yerusalemu MP3 song. Yerusalemu song from album Mbona Tujigambe is released in 2023. The duration of song is 00:05:32. The song is sung by HEAVENLY ECHOES MINISTERS.
Related Tags: Yerusalemu, Yerusalemu song, Yerusalemu MP3 song, Yerusalemu MP3, download Yerusalemu song, Yerusalemu song, Mbona Tujigambe Yerusalemu song, Yerusalemu song by HEAVENLY ECHOES MINISTERS, Yerusalemu song download, download Yerusalemu MP3 song