Nimekombolewa Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Nimekombolewa - Beatrice Mwaipaja
...
Nime kombolewa na Yesu
Alie niheremia
Kwa bei ya mauti yake
Nimekua Mtoto Wake
komboooooooooooooolewa
Nakombolewa na Damu Ya Yesu
Komboooooooooooooolewa
Mimi Mwana wake kwelii x2
Kukombolewa na Furahai
Kupita lugha kutamka
Kuonyesha Pendo lake
Nimekuwa Mtoto wake
Kombolewa
Nakombolewa na Damu Ya Yesu
kombolewa
Mimi Mwana wake kwelii x2
Nitamwona Uzuri Wake
Mfalme wangu wa Ajabu
Na sasa najifurahisha
katika Neema Yake
kombolewa
Nakombolewa na Damu Ya Yesu
Kombolewa
Mimi Mwana wake kwelii x2
Najua taji imewekwa
Mbinguni tayari Kwangu
Muda Kitambo atakuja
Ili Alipo Niwepo
kombolewa
Nakombolewa na Damu Ya Yesu
Kombolewa
Mimi Mwana wake Niwepo x2
By: Da Teddy