- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Dhahabu - Beatrice Mwaipaja
...
nilipokua nipo chini mavumbin walinikataa waliniona ni mavumbi tu. walinikataa nilikua sina thamani kwao.waliijua jana yangu hawakujua leo yangu.waliniona ni maskini,waliniona sina thamani kwao,waliniona sina lolote....ila walichokosea haohao.waliijua jana yangu hao hawakujua leo yangu wanadamu...leo nang'ara kama dhahabu.acha ninga'are kama dhahabu. mimi mimi nidhahabu mimi ni dhahabux4.usiidharau Leo ya MTU maana hauijui kesho yake,maana hauijui hatima yake.hatima ya mtu imkononi mwa mungu alie masikini leo kesho huyo ndie tajiri unaemuona chini leoleo kesho atainuliwa na MUNGU .hatima ya mtu imkononi mwa mungu baba kesho ya mtu imkononi mwake baba daudi alikua mmchunga kondoo porini daudi alikua mchunnga kondoo daudi nani alijua daudi ni mfalme nani alijua daudi ni mtu mkubwa kumbe unaweza pitia leo kwa utukufu wa kesho kumbe unaweza. pitia Leo hiyo ni heshma kwa mungu atakapo kuja kukuinua watakushangaa haa usije idharau Leo ya mtu
Similar Songs
More from Beatrice Mwaipaja
Listen to Beatrice Mwaipaja Dhahabu MP3 song. Dhahabu song from album Dhahabu is released in 2022. The duration of song is 00:07:34. The song is sung by Beatrice Mwaipaja.
Related Tags: Dhahabu, Dhahabu song, Dhahabu MP3 song, Dhahabu MP3, download Dhahabu song, Dhahabu song, Dhahabu Dhahabu song, Dhahabu song by Beatrice Mwaipaja, Dhahabu song download, download Dhahabu MP3 song
Comments (10)
New Comments(10)
Nasambu Mercy
this will never get old ...am blessed..great ministry
thobieta michael
nc song barikiwa sana
Jackson Mwendi0atgo
old is gold for sure my sister, keep it up!
collinsq8upk
Best song among my favourites from my favourite artist be blessed sister
Sporah Venance TV
Kweli mm ni dhahabu
Cecil fjqrz
nice song
123150889
woow nice song
Mosesekc64
Glide Otieno from kisumu. Wooow I love the song. It has a great message
120724462
Nice song nimekubali iko sawa
i love this song uwa inanipea hopes