Cha kutumaini Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Cha kutumaini - Beatrice Mwaipaja
...
Chakutumaini sina ila damu yake Bwana
Sina wema wa Kutosha dhambi zangu kuziosha x2
Kwake Yesu na simama ndie mwamba n salam ndie mwamba ni salama ndie mwamba ni salama x2
Njia yangu iwe ndefu yeye hunipa wokovu
Mawimbi yakinipiga nguvu zake ndio nanga x2
Kwake Yesu na simama ndie mwamba n salam ndie mwamba ni salama ndie mwamba n salama x2
Damu yake na sadaka nategemea daima yote
Chini ya kiisha mwokozi atanitosha x2
Kwake Yesu na simama ndie mwamba n salam ndie mwamba ni salama ndie mwamba ni salam x2
Nikiitwa hukumuni rohoni nina amani
Nikivikwa haki yake sina hofu mbele zake x2
Kwake Yesu na simama ndie mwamba n salam ndie mwamba ni salama ndie mwamba ni salama x2