Moyo wangu tulia
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Moyo wangu tulia - Beatrice Mwaipaja
...
Moyo wangu tulia moyo wangu tulia tulia kwa Yesu moyo moyo wangu tulia aah
Moyo wangu tulia moyo wangu tulia tulia kwa Yesu moyo moyo wangu tulia
Moyo wangu tulia tulia tuli tuli tulia kwa Yesu moyo tulia kwenye pendo lisilokwisha moyo wangu tulia
Moyo wangu tulia tuli tuli tulia kwa Yesu moyo tulia kwenye pendo lisilokwisha moyo wangu tulia
Jiulize nani anayekupenda jiulize nani anayekupenda moyo wangu alikubali kufa msalabani ilikuwa kwa ajili yangu
Aliacha enzi na utukufu BWANA Yesu alikubali kufa msalabani ilikuwa kwa ajili yangu
Alilipa gharama alilipa gharama kwa ajili yangu Yesu alilipa gharama
Yee anajua kupenda yeye si msaliti tulia moyo wangu usijejuta moyo wangu tulia
Anajua dhamani yangu dhamani yangu haijuji kwake ananipenda ananipenda moyo wangu tulia
see lyrics >>Similar Songs
More from Beatrice Mwaipaja
Listen to Beatrice Mwaipaja Moyo wangu tulia MP3 song. Moyo wangu tulia song from album Dhahabu is released in 2022. The duration of song is 00:04:52. The song is sung by Beatrice Mwaipaja.
Related Tags: Moyo wangu tulia, Moyo wangu tulia song, Moyo wangu tulia MP3 song, Moyo wangu tulia MP3, download Moyo wangu tulia song, Moyo wangu tulia song, Dhahabu Moyo wangu tulia song, Moyo wangu tulia song by Beatrice Mwaipaja, Moyo wangu tulia song download, download Moyo wangu tulia MP3 song
Comments (12)
New Comments(12)
Hello1b4r3
Blessing mremy
favorite
catalinarge5q
so nice song dada barikiwa
eveq8lm9
moyo wangu tuliiaa...
sarah2g8pw
mungu akutunze dada
136108924
good song
priscahpf0z4
good song[0x1f618][0x1f618][0x1f618]
Kan Killian
woow so wonderful[0x1f618][0x1f618]
Zion daughter negt4
moyo wangu tuliaa such a blessing song good job Kenya
christina nekesa
Amen , Mungu azidi kukuinua katika uimbaji dada
pendojescah
wow...acha Mungu aziidi kukutumia kugusa mioyo ya watu dadangu
gracianne vutara
kazi zuri mama Mungu akubariki sana na mungu akupngvu
I have been in this song since yesterday, its exactly what i needed to ear, Thank u its a blessing