Salama rohoni mwangu. Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Salama rohoni mwangu. - Beatrice Mwaipaja
...
Niopo amani kama shwari,
ama nionaapoo shida.
kwa mambo yote umenijulisha,
ni salama rohoni mwangu.
salama rohoni, ni salama rohoni mwangu×2
Ingawa shetani ataniteesa, nitajipa moyoo kwani , kristo ameona unyonge wangu amekufa kwa roho yangu.
salama rohoni, nisalama rohoni mwangu×2
Dhambi zangu zote Wala si nusu , zimewekwa msalabani.
Wala sichukui laana yake ni salama rohoni mwangu.
salama rohoni , ni salama rohoni mwangu×2.
Ee bwana himiza siku ya kuja , parapanda itakapo lia ×2.
utakapo shuka sitaogopa ni salama rohoni mwanangu.
salama rohoni, ni salama rohoni mwanangu×4.