Tutafika Salama Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Tutafika Salama - Beatrice Mwaipaja
...
jana tulilala njaa usiku ulikua wa tabu pamoja na mateso yote asubuhi ilifika tukashukuru mungu×2 umetushika mungu mkono umetupigania mungu pamoja na yale magumu yote tumekua washindi hatuna mashaka na kesho sina mashaka na niendapo alie nivusha jana kaninifikisha leo atanifikisha kesho mradi niko na mungu mradi niko na mungu safari yangu iko na mungu itafika salama ninajua nilipo nakumbuka niliko toka kule ninako kwenda ni mungu mwenyewe atanifikisha ah! ..........unakumbuka jana kwanini tukumbuke jana jan inatukumbusha kule mungu alipo tutoa mpendwa usisahau mungu alipo tutoa usisahau fadhiri za mungu katika maisha yetu embu ikumbuke jana kumbuka mungu alipo tutoa basi hakika utakua na uhakika na uhakika na kule tunapokwenda ukisahau jana uwezi kupata ujasiri wa kujikaza katika magumu unayo pitia tuna kumbuka jana tulipo vushwa na mengi hata leo tunajitia moyo wa kusonga mbele nena nasi mungu nena nasi mungu tukiwa na mungu tukiwa na mungu hatuwezi potea tutafika salama tutafika salama pale mungu kule mungu anapo taka tuwepo (tuta fika salama tuta fika salama kwa msaada wa mungu mungu tutafika salama)×4 kiongozi mwema mungu hawezi kutuacha njiani mpendwa usihofu tupo na mungu tuta fika salama usiogope tukumbuke safari ya kutoka misri mungu alitufikisha alitushika mkono alitutia nguvu jeshi la falao lilipo tufata liliteketea hata leo hii hao maadui unao waona mradi tuko na mungu atatushika mkono atatupigania atatutetea pamoja na magumu yo yote tutakua washindi atatufikisha wala usirudi nyuma usikubari kukatishwa tamaa mpaka tufike ng'ambo maana ng'ambo ni kalibu maana ng'ambo ni kalibu kwenye kusudi la mungu kwangu ni kalibu bado tu kidogo usije rudi nyuma utafika pale mungu anapo taka tuwe (tutafika salama tutafika salama kwa msaada wa mungu u mungu tutafika salama)×4