Usinipite Mwokozi Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Usinipite Mwokozi - Beatrice Mwaipaja
...
Usinipite mwokozi. Unisikie, unapozuru wengine usinipite. Yesu yesu naomba unisikie unapozuru wengine usinipite kiti chako cha rehema nakitazama Magoti napiga pale, nisamehe wewe Sina ya kutegemea ila wewe tu Uso wako uwe kwangu nakuabudu umfariji peke yako si na mbinguni .wala duniani pote bwana mwibgine