Yesu kwetu ni rafiki Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Yesu kwetu ni rafiki - Beatrice Mwaipaja
...
Yesu kwetu ni rafiki,
Hwamiwa haja pia,
Tukiomba kwa babaye,
Maombi asikia
Lakini twajikosesha,
Twajitwika vibaya;
Kwamba tulimwomba mungu
Dua atasikia
Una dhiki na maonjo?
Una mashaka pia.
Haifai kufa moyo,
Dua atasikia
Hakuna mwingine mwema
Wakutuhurumia,Atujua tu dhaifu;
maombi asikia,
Je hunayo hata nguvu,
Huwezi kuendelea,
Ujapodharauliwa ujaporushwa pia,
Watu wakikudharau,
Wapendao dunia,
Hukwambata mikononi
Dua atasikia
Hukwambata mikononi
Dua atasikia
Jesus knows our every in needs
Taking to the LORD in PRAY