Moyo wangu tulia Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Moyo wangu tulia - Beatrice Mwaipaja
...
Moyo wangu tulia moyo wangu tulia tulia kwa Yesu moyo moyo wangu tulia aah
Moyo wangu tulia moyo wangu tulia tulia kwa Yesu moyo moyo wangu tulia
Moyo wangu tulia tulia tuli tuli tulia kwa Yesu moyo tulia kwenye pendo lisilokwisha moyo wangu tulia
Moyo wangu tulia tuli tuli tulia kwa Yesu moyo tulia kwenye pendo lisilokwisha moyo wangu tulia
Jiulize nani anayekupenda jiulize nani anayekupenda moyo wangu alikubali kufa msalabani ilikuwa kwa ajili yangu
Aliacha enzi na utukufu BWANA Yesu alikubali kufa msalabani ilikuwa kwa ajili yangu
Alilipa gharama alilipa gharama kwa ajili yangu Yesu alilipa gharama
Yee anajua kupenda yeye si msaliti tulia moyo wangu usijejuta moyo wangu tulia
Anajua dhamani yangu dhamani yangu haijuji kwake ananipenda ananipenda moyo wangu tulia
(Hawezi kukuwacha)Moyo wangu tulia (yeye ni tumaini) moyo wangu tulia (mfariji nyakati zote) tulia kwa Yesu moyo moyo wangu tulia (atakufanya mshindii) moyo wangu tulia (yeye atatimiza)moyo wangu tulia (huliangalia neno lake) tulia kwa Yesu (apate kulitimiza) moyo moyo wangu tulia
Kwani 'takufaa nini kwani 'takufaa nini moyo wangu kupata mazuri ya dunia hii..na kisha uikose mbingu itakuwa ni hasara itakuwa ni hasara moyo moyo wangu tulia..mazuri ni mengi duniani vizuri ni vingi duniani ila ni vya muda ni vya kupita moyo wangu tulia
Hizi shida ni za muda jifunze subira moyo wangu subiri kwa wakati atatenda moyo wangu subiri
Moyo wangu tulia tuli tuli tulia kwa Yesu moyo tulia kwenye pendo lisilokwisha moyo wangu tulia(usipoteze tumaini)
Moyo wangu tulia(maana kesho ni ya Bwana)moyo wangu tulia (atakutendea MUNGU)tulia kwa Yesu(nyamaza acha kulia)moyo moyo wangu tulia (anajua wakati)moyo wangu tulia(wa kukubariki moyo wangu)moyo wangu tulia(sisi sote ni wa kwake) tulia kwa Yesu(na MUNGU hana upendeleo)moyo wangu tulia
(Furahi moyo wangu)