Kijito cha Utakaso Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Kijito cha Utakaso - Beatrice Mwaipaja
...
1. Kijito cha utakaso ni damu ya Yesu,
Bwana anao uwezo kunipa wokovu.
chorus ×2
kijito cha utakaso, nizame kuoshwa humo
namsifu Bwana kwahiyo nimepata utakaso.
2. Viumbe vinaona damu ina nguvu, imeharibu uovu wote ulionidhurumu
chorus ×2
kijito cha utakaso, nizame kuoshwa humo
namsifu Bwana kwahiyo nimepata utakaso.
3. Naondoka kutembea nuruni mwa Mbingu,
na moyo safi kabisa kumpendeza Mungu.
chorus ×2
kijito cha utakaso, nizame kuoshwa humo
namsifu bwana kwahiyo nimepata utakaso.
4. Ni neema ya ajabu kupakwa na damu, na Bwana Yesu kujuaa Yesu wa Msalaba
chorus ×2
kijito cha utakaso, nizame kuoshwa humo
namsifu bwana kwahiyo nimepata utakaso.
namsifu bwana kwahiyo nimepata utakaso×3