Mwaka Wangu Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Mwaka Wangu - Beatrice Mwaipaja
...
Wakati wa kulima mimi nililima
kwa maumivu
Hata nilipo panda ilibidi kusubili ×2
Nilisubili kwaaumivu mi nilingoja,
Nilisubili sikusahau kumwagilia
mi nilisubili sikuacha weka mbolea
Leo ni mwaka wangu
mwaka wangu wa neema,
leo leo subira imevuta heri,leo leoooo ni siku yangu
Huu ni mwaka wangu
(Mwaka wangu )
Mwaka wangu wa mavuno
(Mwaka wangu wa heshima)
Huu ni mwaka wangu
(Nimetendewa)
Mwaka wangu wa mavuno
(Mwaka wa kuinuliwa)
Mwaka wa heshima yangu
(Mmh mwakaaa)
Mwaka wangu wa mavuno
(Mmh mwaka)
Mwaka wa baraka yangu
(Wa heshimaaa)
Mwaka wangu wa mavuno
(Mwaka wa barakaa)
Huu ni mwaka wangu
(Ulio kubalikaa)
Mwaka wangu wa mavuno
(Na mungu mwenyewe)
Huu ni mwaka wangu
(Mmh)
Mwaka wangu mavuno
(Mwakaaa)
Mwaka wa heshima yangu
(Mwa wa heshimaaa)
Mwaka wangu wa mavuno
(wa mavuno yangu)
Mwaka wa baraka yangu
(eeeh)
Mwaka wangu wa mavunoo
(Mwaka wa baraka yaaaaangu)
Nayaona mema kwa maisha yangu nayaona
Maandiko yamesema aonavyo mtu ndivyo alivyo
Huu ni mwaka wangu
Mwakawangu wa heshimaa
Huu ni mwaka wangu
Ni mwaka wa ulejesho
Vilivyoliwa na dhiki nac
Ile heshima niliyokosa naipata
Maana huu ni mwaka wangu
Mwaka wa heshima
Kila apandacho mtu atavuna
Nilipanda kwa maumivu
Leonimevuna kwa furaha