![Maua](https://source.boomplaymusic.com/group2/M0C/9F/AC/rBEeM125knuASMgMAACfJaSOcLI702.jpg)
Maua Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2019
Lyrics
Maua - Elani
...
mbona ,naona wataka kuenda japo nakupenda , na moyo wangu..
na tena ,niwapi nitaenda japo nakupenda na roho yangu...una macho ya Avril,upole wa Lulu Hassan ukipita wakuita, malaika ..sauti ya Amina , na rangi ya kanze Dena ukipita wakuita , malaika
ohhh*2 ukipita wakuita malaika
ohh...ohhh...ohhh..*2
ahh...ah....ah....*2
Mbona uliniambia wataka kuenda japo nakupenda , na moyo wangu, natena niwapi nitaenda japo nakupenda na roho yangu, macho yako ya Avril, upole wa Lulu Hassan ukipita wakuita , malaika..sauti ya Amina na rangi ya kanze dena,ukipita wakuita malaika..
ohh...*2ukipita wakuita malaika
ohhh...ohh.....oh.....*2
aahhh.....ahhh...ah...*2
unavyo enda , safiri vyema mwanangu,unavyo enda msalimu mola mwanangu , usisahau mwanangu ukifika watakuita ..malaika