Nimejaribu Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2019
Lyrics
Nimejaribu - Elani
...
Nimejaribu, nilielie nikusahau wewe,
Nimejaribu, kujikusanya.
Ukaniacha mie na aibu,
Wengine wanicheke, juu uko na mwingine
Nimejaribu, kujikusanya,
Nikusahau wewe *2
Nikusahau wewe *2
Pengine nilikawia sana,
Kukupeleka likizo ikaleta matatizo,
Ulitamani sana Maasai Mara,
Au pengine nilichelewa sana,
Usiku wa manane nilifika, nimetoka mi kuimba,
Juu niko biashara, silipwi mishahara
Na ningependa nikuchukie Mami,
Lakini mi si kama wewe,
Hata kisasi nikulipize,
Lakini mimi sio wewe
Nimejaribu, nilielie nikusahau wewe,
Nimejaribu, kujikusanya,
Kaniacha mie na aibu,
Wengine wanicheke juu uko na mwingine
Nimejaribu, kujikusanya
Nikusahau wewe *2
Nikusahau wewe *2
Pengine nilikupenda sana,
Ulipokosa nikakimya,
Hadhi yangu kaishusha, na nikakusamehe.
Au pengine niombe msamaha,
Sikutosha mimi kwako,
Ukatafuta wa kando, bado kakusamehe.
Na ningependa nikuchukie,
Lakini mi si kama wewe,
Ningependa nikusengenye,
Lakini mi si kama wewe.....
Nimejaribu, nilielie nikusahau wewe,
Nimejaribu, kujikusanya.
Kaniacha mie na aibu,
Wengine wanicheke juu uko na mwingine.
Nimejaribu, kujikusanya,
Nikusahau wewe *2
Nikusahau wewe *2
Baibe...
Nikusahau wewe *4