![Barua Ya Dunia](https://source.boomplaymusic.com/group2/M03/B6/71/rBEeNFw4n8iAP0rSAADMe95Tnx4623.jpg)
Barua Ya Dunia Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2014
Lyrics
Barua Ya Dunia - Elani
...
A-Z LYRICS.AZ
- Song Lyrics from A to Z
You are in: Lyrics | Elani lyrics
Elani - Barua Ya Dunia lyrics
[Verse 1: Brian Chweya]
Hujambo Salam Dunia,
Ni Siku Nyingi Hatujaongea,
Hizi Enzi,
Mbona Huna Penzi,
[Wambizzy]
Nimekuandikia Barua,
Ningeweza Ningekupigia,
Geti Kali, Inalia,
Machozi Ya Sifa,
[Hook]
Usinilenge, Juu Siku Moja Nitakulenga Pia,
Usinicheke, Juu Siku Moja Nitakucheka Pia,
Bobea Bobea, Bobea Bobea,
Ngojea Nita Bobea Pia,
Bobea Bobea, Bobea Bobea,
Ngojea Nitabobea Pia,
[Verse 2]
Sina Mengi Ya Kusimulia,
Ila Tu Ni Barua Ya Dunia,
Aaaahh... Barua..
Mashinani Wanalia lia,
Umri Ndio Huo, Uzee Unaingia,
Sina Fedha, Hisia Wala Njia Eh,
Ya Kujitafutia,
Nikimalizia Barua, Geti Kali Uwe Na Huruma,
Mraia Analia, Machozi Ya Simba,
[Hook]
[Bridge]
Sina Mengi Ya Kusimulia..
Barua Ya Dunia...
Mbona Hukunijalia, Dunia....
[Hook]
[Outro: Brian Chweya]
Sina Mengi Ya Kusimulia,
Barua Ya Dunia, Barua...Z LYRICS.az - Free Lyrics from A to Z
Hosting provided by ADELINAhost.com AZLYRICS.AZ AZLYRICS.COM.AZ