Nangoja Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2019
Lyrics
Nangoja - Elani
...
Nafaa kuishi runda nimengoja sana
Biashara yangu ya duka haiwezi nunua nyumba... Runda..
Nafaa kuwa na Toyota nimengoja Sana...
Niendeshe ijumaa .. Wakati wa masika
Nafaa kuwa na mchumba nimengoja sana...
Naomba mwisho wa mwaka nitaweza kuoa...
Najua wanipenda
Najua waniona
Ndio bado MI nangoja *2
Naomba nipone cancer nimengoja sanaaa..
Mwili wangu umechoka..
Nipe nguvu baba.
Natamani kuitwa mama nimengoja sana
Mtoto wangu juma
Nakungoja sana
Na shiiida nazopitia baba... Heh... wazijua...wazijua Wazijua baba