Yule Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2019
Lyrics
Yule - Elani
...
Ni yule yule yule yule
Ni yule yule yule yule
Me siwezi pigana ndondi
Nlivo umbwa mwili wangu ni wa mapenzi
Na sijui kungangania
Kilicho changu mwishowe kitanirudia
Ka ukijua ninakupenda
Ka ukijua ninakuota
Ka ukijua ninakuwaza (kuwaza kuwaza)
Ka ukijua ninakupenda
Ka ukijua ninakuota
Ka ukijua ninakuwaza (kuwaza kuwaza)
Yuko wapi kama yule
Shida zangu zipungue
Wapi, kama yule , kama yule
Yu wapi kama yule
Shida zangu zipungue
Yu wapi ,kama yule, kama yule
Moya wangu-aaahhh
Moyo tulia -aaaah
Baby when i think of you ,
Baby when i think of you ,
I'm into you,
Boy wanipa wazimu
You know that I'm missing you
Baby when i think of you ,
Baby when i think of you ,
I'm into you,
Boy wanipa wazimu
You know that I'm missing you
Ninakupenda,
Baby we wajua me nakuota,
Wewe ndiwe dawa yangu,
(Kuwaza Kuwaza)
Me nakuwazaa
Ninakupenda,
Baby we wajua me nakuota,
Wewe ndiye penzi langu
(Kuwaza kuwaza)
Me nakuwaza
Yu wapi kama yule
Shida zangu zipungue
Yu wapi ,kama yule, kama yule
Yu wapi kama yule
Shida zangu zipungue
Yu wapi ,kama yule, kama yule
Moyo wangu aaah(Moyo wangu)
Moyo tulia aaaah(aiyaayaa)
Moyo tulia aaaah
Moyo tulia aaaah
Yu wapi kama yule
Shida zangu zipungue
Yu wapi ,kama yule, kama yule
lyrics added by James Keter(cool kid 1)