Hapo Zamani Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2014
Lyrics
Hapo Zamani - Elani
...
Rauka jamaa kumekuchaa
miaka kumi na sita kidato cha kwanza
pokea salam siku mpya
insider za kwanza za sifiwa boma
kaipokea tetesi moja shule ni wikendi
barua ulioituma nimeshasoma
na sijaweza kupumua moyo wangu waridhika
sijaweza kupumuwa aaaahhh
hapo zamani ningejua ningekuoa
hapo zamani ukiambiwa unapendwa waamini
ukipendwa unaimani
aaaaaii welelele yeah yeah
nilikuwaza sana michana kutwa
wewe sukuma mimi nikaliwishwa
tulipendana kinyama
nikaipokea tetesi hakuna mwingine
hakula mishikaki aishiye kifahari
mi sikuweza kupumuwa moyo wangu ka vunjika
sikuweza kupumua aaaa aa aahhhhh
hapo zamani ningejua ningekuoa
hapo zamani ukiambiwa unapendwa waamini
ukipendwa unaimaani yee
aaaaaiiiii welele
sikujua miaka kumi na sita sio miaka ya kuelewa dunia
sikujua miaka kumi na sita sio miaka ya kuelewa mahaba
*weeeeeeyyyoooo *wweeeeeeeyyyoooo
hapo zamani ningejua ningekuoa
hapo zamni ukiambiwa unapendwa waamini
ukipendwa unaimaani
hapo zamani ningejua ningekuoa
hapo zamani ukiambiwa unapendwa waamini
ukipendwa unaimaani