Mara Mia Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2019
Lyrics
Mara Mia - Elani
...
(Maureen)
Sitakuomba
Ubaki na mimi
Oooooooh
Sitakuomba.
Umenipotezea muda
Nakupenda lakini
Ooooooh
Sitakuomba
(Pre Chorus)
Juu mimi hapa ninavumilia
Uchungu nausikia
Na Mola atanipa subira
Miki hapa ninavumilia
Uchungu nausikia
Na Mola atanipa subira.
Chorus
(Wambui)
{Mara mia nilikupigia
Ukirudi nitashangilia
Bado mimi ninakungojea sana
Ninakungojea sana} *2
(Brian)
Oh uh oh uh oh
Oh uh oh
Oh oh oh oh
Yeah yeah yeah
Siku nyingi zimepita
Moyo wangu wakungoja
Si ningezaliwa kwingine
Ningalipenda mwingine
Siku nyingi zimepita
Kwa majirani najificha
Si ningezaliwa kwingine
Ningalipenda mwingine