Jana Usiku Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2014
Lyrics
Jana Usiku - Elani
...
Number one on your radio (elani baby)
Uuuh yeah
Mi nataka party party
Mi nataka party party
Mi nataka party party party party party party

Jana usiku, niliota ndoto, Africa nzima, kuliwaka moto x2
Jua ilinyesha, mvua nayo ikawaka aaa,
Manabii walitafsiri, siku hii na sio siri,
Kama wewe unajipenda, mikono juu mikono juu, kama umemea,
Sahau shida ka umesota, leo tupige makelele,kona to kona, tukiimba, aaaaaaa, aaaaaaa party
Na mi napendwa na halaiki, wananipigia pigia mtaani, Haiyaiye,
Tumemea, hakuna fare, na tunataka hewaaa
Nina napendwa na halaiki, wananipigia pigia mtaani, Haiyaiye,
Tumemea, hakuna fare, na tunataka hewaaa
Kama wewe unajipenda, mikono juu mikono juu, kama umemea,
Sahau shida ka umesota, leo tupige makelele,kona to kona, tukiimba, aaaaaaa, aaaaaaa party
Kama wewe unajipenda, mikono juu mikono juu, kama umemea,
Sahau shida ka umesota, leo tupige makelele,kona to kona, tukiimba, aaaaaaa, aaaaaaa party
Mi nataka party party
Mi nataka party party
Mi nataka party party party party party party
Mi nataka party party
Mi nataka party party
Mi nataka party party party party party party
Mi nataka party party
Mi nataka party party
Mi nataka party party party party party