Sirudi ft. Jaguar Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2016
Lyrics
Sirudi ft. Jaguar - Elani
...
Ni jaguaaaaar Elani baby…
Wacha mi niende mi niende nimechoka sana…
Baki usiende usiende nisamehe mama…
Nitazame useme unayosema…
Ukishayanena jua mi na enda..
Wajifanya hodari…nimekusoma..
Weh fisi hatari..usinikaribie..Nooo..
Tafadhali skiza nayo sema..
Kukosa nimekosa kupetipeti Rhoda..weh wacha,
Wacha nikupende nikupende nikupende mama..
Wacha nikupende usiende nisamehe mama…
(CHORUS)
Sirudi sirudi tena(Mi nitajuta)
Nimechoka sirudi tena (Ukienda nitajuta)…
Sirudi sirudi tena…
Sirudi sirudi aaaaah utajuta
Baby tulia..wachana na makesi..nusia maua..
Nerea si ni wa jana na hana maana..
Ni wewe napenda..ni wewe..na penda…
Sitatulia..warandaranda kote mi na lia…
Siku sita..warandaranda kote mi na lia…
Nakubali niliteleza..akanipoteza..
Penzi lake gereza nikawa mateka…
Moyo wangu ni wako mami, moyo wangu ni wako ma..
Sitakutenda ntakupenda
usiende…nitakuoa mama..
(CHORUS) ×2
Wacha mi niende mi niende nimechoka sana
wacha mi niende mi niende…
Nooo baki usiende usiende nisamehe mama
baki usiende usiende nisamehe mama ooooh