![Joto](https://source.boomplaymusic.com/group2/M0C/9F/AC/rBEeM125knuASMgMAACfJaSOcLI702.jpg)
Joto Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2019
Lyrics
Joto - Elani
...
wengi wamezaliwa duniani
nataka tu mi niwe nawe
nataka tu mi niwe nawe
wengi wasengenya jua waelewi
nataka tu nibaki nawe
nataka tu nibaki nawe
bado nakupenda bado nakutaka
bado busu lako lanipa mimi joto
aiyaayaa
nataka niwe nawe
tuwe tu milele
mi nawe ni mi nawe ni mi nawe
malaika
nataka niwe nawe kwenye dunia
siku zimepita
milele na milele nimeamua
aaaah
wengi wamezaliwa duniani
nataka tu mi niwe nawe
nataka tu mi niwe nawe
wacha wasengenye jua waelewi
mmmh
nataka tu nibaki nawe
nataka tu nibaki naweeee
bado nakupenda bado nakutaka
aaah ya ya
bado busu lako lanipa mimi joto
aiyaaayaa
nataka niwe nawe
tuwe tu milele
mi nawe ni mi nawe ni mi nawe
malaika
nataka niwe nawe kwenye dunia
siku zimepiita
milele na milele
nimeamuuuua
ju nakupenda
usiende mbali na moyo wangu
nashangilia
kuwa nawe safari ya maisha yangu
kwa machache tu
nakupenda
mpeenzii
kwa machache tu
nikuenzi mpenziii
malaika
nataka niwe nawe kwenye dunia
siku zimepita
milele na milele nimeamua
aaaah
wengi wamezaliwa duniani
nataka tu mi niwe nawe
nataka tu mi niwe nawee