Milele Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2014
Lyrics
Milele - Elani
...
Malenga wakubadili zao Nia, kama Una maskio sikia, usije basi ukapuliza gunia ,, na Wenye roho nyepesi watasengenya, hawatatuombea, na MI nishakupenda weuwe, kwa wazazi nikupelekeX2 Lalalalalalalalalala aaaaah Lalalalalalalalalala aaaaah Aaah,, ooouh subira jaribu kuivuta Leooo,, ououh subira jaribu kuivuta leeoooX 2
Bagua Bagua, tabaguliwa, pokea takubaliwa, Tabia Tabia Ndio njia, Nimeamka nikupende, watu wasitutenganishe , niwe wako milelele,,, juu me nishakupenda wewe, kwa wazazi nikupeleke,, me nishakupenda weuweeee eeh, eeeeh, lala lala lalalalla aaaah Aaah,, llalalalala lalalalla aaaaah ooouh subira jaribu kuivuta leeeeeooo X4