Zuzu Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2014
Lyrics
Zuzu - Elani
...
kwani wapi nilikosea,kwani wapi nilipotea nikawachwa mataa
naye ni zuzu anaye ni zuzu waaa
naye ni zuzu amenitoroka
hoi hoi iii
hoii hoi iii
fumba kufumbua
hasira ni hasara
pesa ndio kitu Sina,jukumu ni lazima
tabibu wangu amenitoroka,
tabibu wangu ameniacha meeee
hoi hoi ii hoi hoi ii
ulienda ,ulienda wapi ?penzi limenichanganya sijui Niko wapi
watalaam walingamua ngam
tokomea tokomea hasira hasara Nga
ameniacha me hoi hoi ii
kwani wapi nilikosea aah ahh
kwani wapi nilipotea nikawachwa mataa