![Kaa Mbali](https://source.boomplaymusic.com/group2/M0C/9F/AC/rBEeM125knuASMgMAACfJaSOcLI702.jpg)
Kaa Mbali Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2019
Lyrics
Kaa Mbali - Elani
...
ooh oooh ooh. ooh
Je wasikia ninapo kuombea
ninavyo kungojea , mikononi mwangu
je wakumbuka tulipotoka
nilipokuona,na macho yangu
naomba atachoma
naomba atavunja moyo wako mara saba
akose msamaha
aseme amechoka
afanye penzi lenyu nalo liwe takataka
unikumbuke eeeeh
kweli kweli kweli kweli eeh
kweli kweli kweli eeh nana*4
kweli kweli kweli eeh
kama hunipendi kaa mbali na mi
sitaki urafiki kaa mbali na mi
Kama hunitaki kaa mbali na mi
sitaki urafiki kaa mbali na mi
kweli kweli kweli ee
vitu vingine wala havitaki ujuaji
usidhani bila wewe jua halilali
ukanikera nafsi
mi na we tulifagilia Tanzania
penzi letu lili run dunia
utashinda jichocha na bandia
na najua atachoma
najua atavunja moyo wako mara saba
akose msamaha
naomba atachoka
alifanye penzi lenyu nalo liwe takataka
unikumbuke
kweli kweli kweli eeh
kweli kweli kweli eeh nana*4
kweli kweli kweli eeh
Kama hunipendi kaa mbali na mi
sitaki urafiki kaa mbali na mi
kama hunitaki kaa mbali na mi
sitaki urafiki kaa mbali na mi
kweli kweli kweli eeh
naomba atachoma
naomba tavunja moyo wako mara saba
mmmmh
aseme amechoka
afanye penzi lenyu nalo liwe takataka
kweli kweli kweli eeh
kweli kweli kweli eeh nana*4
kweli kweli kweli eeh.