
Futa Machozi Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2016
Lyrics
Futa Machozi - Solomon Mkubwa
...
nalimngoja bwa kwa zaburii akaniinamia akakisikia kilio changuu akanipandisha toka shimoo shimo la uharibifu akanisimamisha bwaaana toka udongo wa utelezii akasimamisha miguu yangu mwambani mbwana wangu wee akazisimamaisha atua zangu akazipanga sawasawa ili nimtumikie niimbe sifa zake zimekaa midomoni mwangu ameweka wimbo mpya midomoni mwangu ndio mana ninaimba sifa za mungu