![Kisima](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/05/28/813b74adc60842e4baf1945353e0c455.jpg)
Kisima Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2021
Lyrics
Kisima - Solomon Mkubwa
...
uuuuuuuuh yeeeeeeh baba baba baba aaaah
still alive
mmmh mmmh
Ni mapenzi ya Mungu
Yaliyo na Rehema
yenye nguvu iliyonivuta kutoka kuzimu
Ni mapenzi yake kama vile baba aaah
unanilisha kutoka mbinguni
nimezingirwa na nguvu zako
ni mapenzi yako
nimenusurikaaa
nimebarikiwa eeh
nimenusurikaaa
nimebarikiwa eeeh