Mwamba Uliopasuka Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2014
Lyrics
Mwamba Uliopasuka - Solomon Mkubwa
...
SPOKEN WORDS
Oo Yesu ,umeniita nikutumikie, kwenye.
kizazi hiki ambacho kimejaa matatizo, nisaidie bila wewe sitaweza.
VERSE 1
Eee Bwana umeniita nikutumikie kwenye kizazo hiki kimejaa matatizoo usiponishika mkono Bwanaa... nani mwingine atanishika
ninacho kuomba Baba uwe naami
Umeniita jinsi nilivyo nimebeba msalaaba wangu , sijali majaribu nimekuja kwaako nisaidie nijipe moyoo ili nifikiliee tajii
ninacho kuomba Baba uwe namii.
Matatizo yamejaa mahali koteee wanadamu wamechoka wengine wamekuacha ee Bwana
Tupe neno tuwaendee nao wapate kukujuaa
Ninacho kuomba Baba uwe namii
Uwe namii
CHORUS
Yesu uwenami
Yesu usiniache
Dunia shida nyingi matatizo yasumbua mioyo
Ninacho kuomba Baba uwe nami...×2
VERSE 2
Wako wengi wamejeruhiwa wahitaji kufarijiwa nawe usiwapite ee Bwanaa jionyeshe kwao kuwa Baba.
Usiwaache waangamiee
Shetani amefungua kinywa kuwamezaa
ninacho kuomba Baba uwe naoo
Wengine wameshindwa, kwenye ndoa zaoo
wameamua kuachana, Bwana nahitaji uwaonee
Matatizo yamewajaa bila wewe wataachana
Ninacho kuomba Daddy uwe na wanandoa hao Babaa..
Matatizo ya huduma yamejaa usipo simamisha watumishi wako Baba , nani atawasimamishaa
Shetani ametega mitego ooo
Ee Bwana tusaidiee
tufike mwisho wa safi yetu tupate taajii
Uwe nasi...
CHORUS
BRIDGE
SOLO: Uuuu Yesuu...
Uwee namii ×3
Usiniachee...
SOLO: Uwe namii×2
Ninacho kuomba Baba, uwe nami
Uwe nami
uwe namii×3
usiniachee
Uwe nami×2
Ninacho kuomba Baba uwe nami ( all times)